Mkude kusubiria vipimo zaidi - TASMARA1

TAWI LA SIMBA SPORTS CLUB MKOANI MARA

TASMARA - TASMARA - TASMARA

AHSANTE SANA NA KARIBU TASMARA

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Mkude kusubiria vipimo zaidi

Share This
empty:news-banner-img

Mkude kusubiria vipimo zaidi

 Missima Mon, Jun 9 Fri 2020
Daktari wa timu, Yassin Gembe amesema kiungo Jonas Mkude ambaye amepata majeraha baada ya kuumia katika mechi ya kirafiki dhidi ya KMC hapo jana, atapaswa kusubiri vipimo zaidi ili kujua ukubwa wa jeraha hilo. Aidha, amesema licha ya kusubiri vipimo hivyo kiungo huyo anaendelea vizuri. Mkude alikimbizwa katika Hospitali ya Rabininsia Memorial baada ya kuumia dakika ya 53 katika mchezo huo ambao ulimalizika kwa kushinda mabao 3-1. "Mkude kwa sasa anaendelea vizuri na ametoka hospitali, isipokuwa anahitaji kufanyiwa vipimo zaidi," amesema Dk. Gembe. Taarifa zaidi kuhusu hali ya Mkude zitaendelea kutolewa katika Tovuti hii kwa jinsi zitakavyopatikana.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here