KIPA MTIBWA NAYE ALAMBA MACHUNGU YA KAMATI TFF, MECHI TATU NJE, RUFAA IPO WAZI - TASMARA1

TAWI LA SIMBA SPORTS CLUB MKOANI MARA

TASMARA - TASMARA - TASMARA

AHSANTE SANA NA KARIBU TASMARA

Post Top Ad

Responsive Ads Here

KIPA MTIBWA NAYE ALAMBA MACHUNGU YA KAMATI TFF, MECHI TATU NJE, RUFAA IPO WAZI

Share This

Kamati ya nidhamu ya Nidhamu ya TFF, imemtia hatiani Mchezaji wa Mtibwa Sugar Benedict Mlekwa Tinoco kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi mchezaji wa timu Biashara United FC.

Tinoco alimfanyia alimkanyanga mchezaji huyo aliyekuwa ameanguka baada ya kuchezewa rafu.

Kamati imempa adhabu ya kufungiwa kutocheza mechi tatu mfululizo/zinazofuatana kwa mujibu wa kifungu cha 48(1)(d) cha Kanuni za Nidhamu TFF.

Aidha, Kamati imeeleza timu yake au mchezaji wanayo haki ya kumkati rufaa mchezaji huyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here