Simba:
Wakati Mbelgiji Patrick Aussems akihaha kwenye benchi la ufundi kama Kocha Mkuu pekee kwa takribani miezi minne sasa, imeelezwa uongozi wa klabu hiyo umeanza harakati za kusaka msaidizi wake.
Taarifa za ndani ya Simba zinasema uongozi umeamua kumpata mtu atakayemsaidia
Aussems kutimiza majukumu kwani amekuwa akifanya peke yake kwa muda mrefu tangu
kuondoka kwa Masoud Djuma.
Ifuatayo ni orodha ya Makocha ambao wanapigiwa upatu na Simba ili kuungana na
Aussems kwenye benchi la ufundi.
1. Seleman Matola (Lipuli FC)
2. Ettiene Ndayiragije (KMC)
3. Amri Said Stam (Biashara United)
4. Juma Mgunda (Coastal Union)


No comments:
Post a Comment