
Ligi kuu ya Tanzania bara leo itendelea kwa mchezo mmoja utakao wakutanisha mabingwa watetezi wa ligi hiyo Simba SC ya Dar es Salaam na Mwadui Fc ya mkoani Shinyanga mchezo huo mkali utarindima kuanzia majira ya saa moja usiku katika uwanja wa taifa jiji Dar es salaam.
Matokeo ya mchezo huo utayapata hapahapa katika kituo chako pendwa cha TASMARA Karibu.


No comments:
Post a Comment