Serikali imetatua kadhia ya makontena ya wafanyabiashara wa DRC kukwama Bandarini, Dar es Salaam na sasa makontena hayo yameanza kutoka Bandarini.
Waziri Kamwelwe amesema makontena hayo yalizuiwa baada ya kujitokeza tena tuhuma za baadhi ya wa wafanyabiashara kubakiza nchini bidhaa zilizopaswa kwenda nje ya nchi.





No comments:
Post a Comment