BREAKING: Malkia wa Meno ya Tembo atiwa hatiani na Mahakama - TASMARA1

TAWI LA SIMBA SPORTS CLUB MKOANI MARA

TASMARA - TASMARA - TASMARA

AHSANTE SANA NA KARIBU TASMARA

Post Top Ad

Responsive Ads Here

BREAKING: Malkia wa Meno ya Tembo atiwa hatiani na Mahakama

Share This





Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu imemtia hatiani raia wa China, Yang Feng Glan (66) maarufu kama Malkia wa tembo, na wenzake Wawili baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa na mashahidi kumi na moja upande wa mashtaka Katika mashitaka ya kujihusisha na biashara haramu ya meno ya tembo yenye thamani ya Sh. bilioni 13, kinyume cha sheria.

Mbali na Feng washtakiwa wengine walitiwa hatiani ni, wafanyabiashara raia wa Tanzania, Salvius Matembo na Philemon Manase, ambao wote walikuwa wakitetewa na mawakili Nehemia Nkoko na Hassan Kiangio. Kwa habari zaidi endelea kufuatilia TASMARA Blog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here