- TASMARA1

TAWI LA SIMBA SPORTS CLUB MKOANI MARA

TASMARA - TASMARA - TASMARA

AHSANTE SANA NA KARIBU TASMARA

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Image result for kocha wa stand united

Kocha wa Klabu ya Stand United, Athuman Bilal 'Bilo' amefunguka kuwa mechi yao ijayo dhidi ya Simba ni ya kawaida mno.

Bilo ametamba kuwa mechi dhidi ya Simba ni ya kawaida sana kama wanacheza na Lipuli, Ndanda, Singida United na timu zingine.

Pia amesema anaiyona Simba yakawaida kama timu zingine kwasababu ina kikosi cha kawaida hivyo hawana presha kabisa kuelekea mechi hiyo.

"Simba ni wa kawaida mno, sioni utofauti na timu zingine, tutawashangaza kama ilivyokuwa kwa Yanga wakija Shinyanga" alisema Bilo

Simba na Stand zitakutana tena katika mchezo ambao utakuwa ni wa raundi ya pili ambapo Stand wakiwa na kumbukumbu ya kichapo cha mabao 3-0 kwenye Uwanja wa taifa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here