Matokeo ya mechi mbili za leo Juni 13 za Ligi Kuu Bara kwenye viwanja viwili tofauti - TASMARA1

TAWI LA SIMBA SPORTS CLUB MKOANI MARA

TASMARA - TASMARA - TASMARA

AHSANTE SANA NA KARIBU TASMARA

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Matokeo ya mechi mbili za leo Juni 13 za Ligi Kuu Bara kwenye viwanja viwili tofauti

Share This

Mwadui FC imekubali kuchapwa bao moja kwa bila na Yanga Uwanja wa Kambarage. Bao limefungwa na Balama Mapinduzi dakika ya sita

Coastal Union iliyo chini ya Kocha Mkuu, Juma Mgunda imelazimisha sare ya kibabe ya kufungana mabao  2-2 na Namungo FC, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here