
Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kimetua mchana wa leo katika uwanja wa ndege wa Mwalim JK Nyerere jijini Dar es Salaam na kupokelewa kwa shangwe zito na mashabiki wa soka wakiongozwa na Waziri Harrison Mwakyembe na mkuu wa mkoa wa Dar es Salkaam, Paul Makonda.


No comments:
Post a Comment