Kahata anasajiliwa na Simba akiwa na uzoefu wa kutosha wa soka la Afrika
ambapo amefanikiwa kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho
Afrika mwaka 2018 akiwa na Gor Mahia ya Kenya na msimu wa 2018/2019.

No comments:
Post a Comment