MOTO WA KUNDI D LIGI YA MABINGWA SI WA MCHEZOMCHEZO, SIMBA LEO KAZI KAZI - TASMARA1

TAWI LA SIMBA SPORTS CLUB MKOANI MARA

TASMARA - TASMARA - TASMARA

AHSANTE SANA NA KARIBU TASMARA

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MOTO WA KUNDI D LIGI YA MABINGWA SI WA MCHEZOMCHEZO, SIMBA LEO KAZI KAZI

Share This

KWA sasa kazi imekuwa kazi imezidi kupamba moto kundi D juzi baada ya AS Vita kuwanyoosha wapinzani wao Al Ahly kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi wakiwa nyumbani.

AS Vita wametumia Uwanja wa nyumbani kwa mafanikio na kuendeleza ile sera ya kila mmoja na ashinde mechi zake nyumbani.
Bao pekee lililopachikwa kambani na Tuisila Kisinda lilitosha kuimaliza Al Ahly na kuwafanya wajinasue kutoka nafasi ya tano mpaka nafasi ya kwanza.
Kwa sasa msimamo wa Ligi ya Mabingwa kwa kundi D upo namna hii:-

Al Ahly Pointi 7 ya Misri inabaki na pointi zake za awali baada ya upoteza michezo miwili mfululizo alianza mbele ya Simba na leo kwa AS Vita ugenini.

AS Vita Pointi 7 baada ya kubeba pointi tatu leo mbele ya AL Ahly ya Misri.

Simba Pointi 6 bada ya kushinda mbele ya AL Ahly ya Misri.

JS Saoura Pointi 5 pointi tano baada ya kutoka sare na Al Ahly ya Misri.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here