AFRICAN LYON 0-3 SIMBA SC - TASMARA1

TAWI LA SIMBA SPORTS CLUB MKOANI MARA

TASMARA - TASMARA - TASMARA

AHSANTE SANA NA KARIBU TASMARA

Post Top Ad

Responsive Ads Here

AFRICAN LYON 0-3 SIMBA SC

Share This

Mabingwa watetezi wa Ligi kuu Tanzania Bara Simba SC wamepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya African Lyon katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Simba imepata mabao yake kupitia kwa John Bocco aliyefunga mawili dakika ya 28 kwa penati na dakika ya 46, huku bao lingine likifungwa na Adam Salamba dakika ya 45+2. Matokeo hayo yanaifanya Simba kufikisha pointi 42 ikiendelea kubaki nafasi ya tatu nyuma ya Azam FC wenye pointi 50 na kileleni bado yupo Yanga akiwa na pointi 58. Kwa upande wao African Lyon wamesalia mkiani wakiwa na pointi 21 katika michezo 27 waliyocheza.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here